Pages

Sunday, August 5, 2012

MKE WANGU KAPATWA NA NINI?

Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama 3 zilizopita amekuwa akinilazimisha nile mzigo kila siku hapa nilipo kichwa kinaniuma kutokana na mabao nitoayo kila siku.

Jana nimeona nivunje ukimya baada ya kuniamsha usiku wa wa ma8 nile mzigo nikamueleza mke wangu utaniua naomba tupumzike hata siku 3 mbele target yangu ni kuwa baada ya siku 3 anatarajia kuingia kwenye siku zake so ntapata mapumziko ya kutosha,cha ajabu mke wangu kaanza kulia na kulalamika kuwa haamini kauli yangu ya kukataa kula mzigo.

Ilinibidi nimmbeleze kisha nikampoza na kamoja hapa nilipo nipo njian natoka job ameshanitumia sms ananiambia eti niwahi Anahamu ya dudu langu nimekaa kimya sikumjibu kanipigia simu anasisitiza alichokiandika kwenye sms yake tena kwa sauti ya majonzi.

Nampenda mke wangu ila ananichanganya kwa vile tabia hii hakuwa nayo mi ndio nilikuwa initiator wa mchezo wetu.

Hebu waungwana naombeni mnisaidie itakuwa kapatwa na nini hadi amekuwa hivi?

Tabia hii kaanza tangu niliporudi kutoka mkoani Dodoma ambambo nilikaa kule kwa miezi 3 bila kushiriki nae.

2 comments: