Hili ni jukwaa mahsusi kwa ajili ya ku-share mambo mbali mbali kuhusiana na Urafiki, Uchumba, Mahusiano, Mapenzi na Ndoa.
Kama unatafuta Mwenza, au una mkasa wa mapenzi ambao ungependa kuushirikisha kwa wadau wa jukwaa hili, tuma kwa E-Mail yako kwenda:
mapenzitanzania@gmail.com
na mara hiyo hiyo utaona ulichotuma kwenye jukwaa hili automatically.
N.B:
E-Mail Yako uliyotumia kutuma haitaonekana, Labda uiandike.
KARIBUNI SANA