Pages

Sunday, August 5, 2012

I HATE THE WAY I LOVE HIM..

Nikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria, nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!

Ndoto zangu nyingi ni juu yake!

Nisiposikia sauti yake naumia!

Nisipopata SMS nakasirika!

Sina nguvu za kucontrol hisia zangu na sina uwezo wa kumficha ninavyojisikia!

It hurts so much that we are apart.

Ninaumia sana ninapotaka kukumbatiwa lkn naishia kukumbatia mito.

Nahisi ninaact like a school girl in love while l am a mature woman; nifanyaje?

No comments:

Post a Comment